Eneo bunge la Kajiado Kaskazini

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kajiado Kaskazini ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo matano ya Kaunti ya Kajiado. Eneo lote la jimbo hili liko katika Baraza la Olkejuado county.

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1966.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy